+254 732 332 055
info@inlovingmemoriam.co.ke
Nairobi, Kenya

Mzee David Keya September 26, 2019

Mzee Keya amekuwa wa afya njema hadi tarehe 1/9/2019 alipopigwa na ugonjwa wa stroke. Alitibiwa Moi Teaching and Referral Hospital Eldoret na Fountain Hospital lakini hakupona. Aliaga dunia tarehe 26/9/2019. Duniani amemaliza miaka Tisini na Saba (97 yrs)

Mzee David Keya Afandi alizaliwa mwaka wa 1923 kijijicha Viguru, Lusiola sublocation, south Maragoli, Vihiga county. Alikuwa mtoto wa marehemu Afandi Jigoro (wa ukoo wa vafunami). Alikuwa mtoto wa tatu wa jamii hiyo.

Alioa marehemu Phanice Mmboga (Mundenga) mwaka wa 1962. Walijaliwa na watoto saba (7); Hellen Muhonja, marehemu Mary Adisa, Benard Kiganane, Aggrey Osogo, Evans Iravisa, Jane Kavosa na Allan Egara.

 

THURSDAY 10 OCTOBER 2019 10.00 am -11.00 am: Cortege leaves Kimbilio Funeral Home, Kipkarren 11.00 am-2.30 pm: Church service at Kipsangui Citadel 2.30 pm- 3.00 pm: Viewing of the body 3.00 pm-3.15 pm: Cortege leaves for home in Nangili SATURDAY 12 OCTOBER 2019 9:30 am -10:00 am: - Assembly at St. Bibiana School

Leave a Condolence